Blogger Widgets

Friday, January 18

Burudani| Video ya tamthilia ya SIRI YA MTUNGI sehemu ya kwanza.

Kwa wale ambao hawajafanikiwa kuiangalia tamthilia ya SIRI YA MTUNGI kwasababu ya shughuli mbali mbali, Iangalie hapa sehemu ya kwanza ya tamthilia hii kupitia video hapo chini.
Ikiwa "Siri ya Mtungi" ni tamthilia ya televisheni inayofurahisha, inayoonyesha maisha ya Cheche, mpigapicha mwenye bashasha na mmiliki wa Studio ya Kupiga Picha ya Mtungi. Ana mke mrembo, Cheusi, aliyemzalia watoto wawili wenye afya na huku akiwa na ujauzito wa mtoto wa tatu.
Iangalie hapa.


© 24Hours Mix | Infotainment site
Share on :
 
© Copyright 24Hours Mix 2013 - Some rights reserved | Powered by Blogger.com .
Template Design by 24Hours Mix